Emelance Emy amefika leo saa ine na nusu...(10h30') - Kora Entertainment
Home » » Emelance Emy amefika leo saa ine na nusu...(10h30')

Emelance Emy amefika leo saa ine na nusu...(10h30')

Written By Unknown on mardi 27 novembre 2012 | mardi, novembre 27, 2012

Edouige,Member & Emy


Leo hiyi asubuhi saa ine na nusu(10h30') timu nzima iliyokuwa imejielekeza nchini Bénin,Mjini Cotonoukwenye mashindano ya SICA imerejeya nchini Burundi ikiwa imeipa heshma nchi ya Burundi baada yakushinda tunzo la SICA,mashindano ambayo yalizikutanisha nchi za Africa na zingine kama waarifiwa.Mwanadada Emelance Emy NIWIZERE,SIMBAVIMBERE Bruno Member na Edouige MBONIMPA wamefika leo hiyi wakija na tunzo hilo ambalo ni muhimu sana nchini kwetu.Emy amechukuwa tunzo la Video bora(Trophée Sica Meilleur video 2012).Walipo fika tu kitu cha kwanza tulichokihitaji kutoka kwao ilikuwa.
AH & Emy
 
AH:Ni zipi hisiya zenu?
E.E.M:Tunafurahi sana kuona tumefika salama,pili tunayo furaha isio kuwa namfano kuona tumeshinda kwenye mashindano yenyewe,ni sifa kwa nchi yetu,na imetupa fursa yakujipanuwa zaidi.Tunashkuru sana Serekali ya Burundi kutupa fursa hiyi,na wengine wawafanyiye hivo kwani 'Akanyoni katagurutse nikamenya iyo bweze',akimaanisha 'Mguu uliotoka umebarikiwa'.Amekuwa Mwanadada wa kwanza Mrundi ambae ameshiriki kwenye mashindano hayo nakujishindiya tunzo hilo.

Emelance Emy,Mshindi wa Best video ya Sica 2012

 -Kumbukumbu:
 *2009:Steven Sogo alishiriki na akashinda nyimbo bora 'Il est beau mon pays'
*2010:Albert Kulu
*2011:Shazzy Cool Harera
*2012:Emelance Emy,ameshinda video bora 'Yambogorera'

Share this article :

4 commentaires:

  1. Réponses
    1. Mungu akujalie mwanadada ndugu yetu na sisi tupo pamoja nawe! Hiyo iwe mfano kwa wengine na wenyew wazidishe juhudi zao hata kama naelewa kazi hiyo na hali ya kiuchumi ya inchi yetu ni ngumu ila kama wanavyo sema: akagumye bagumako, kazana na juudi katka kazi zenu na mtafanikiwa inshaa'ALLAH!

      Supprimer
  2. bwana amidu hassan, fresh sana kwa kutu peperushia news kama izi nzuri sana. na usichoki kutu fahamisha habari zingine.na mwenyezi mungu hakudjaliye amin.

    RépondreSupprimer

Commentaire

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News