Nchi ya Tanzania mwaka huyu imewapoteza Wasanii 3 kwenye tasniya ya filamu na mziki,Wasanii hao ni hao mnakawo waona pichani.Kuhusiyana na kifo cha Sharobaro ambae alifariki jana baada yakupata ajali ya barabarani akiwa kwenye gari lake alilo linunuwa miezi 5 ya nyuma,mazishi ya HUSSEIN RAMADHAN Mkiete maarufu kama 'Sharobaro' yamepangwa leo hiyi asubuhi kutokana na usemi wa Mjomba wake Mzee Ramadhan Saleh,na mazishi yamepangwa kufanyika Tanga.
Sehemu pajulikanapo kama Agape Secondary School,ndipo Sharo Milionea alifanya tamasha yake ya mwisho ilikuwa tarehe 23 November 2012,Ijumaa hiyi iliopita,Tamasha hiyo ali ifanya masaa 72 tu kabla ya kifo chake.Wasanii wa hapa nchini Hassan Ibrahim a.k.a Mr Happy,a.k.a Busness man alitwambiya:"Nimeshtushwa sana na kifo chake,alikuwa mtu muhimu sana ila Mungu akupenda,nta miss sana wallahi.Mola amuweke mahala pema."
![]() |
Muwili wake baada yakufanya ajali... |
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !