Edouige,Member & Emy |
Leo hiyi asubuhi saa ine na nusu(10h30') timu nzima iliyokuwa imejielekeza nchini Bénin,Mjini Cotonoukwenye mashindano ya SICA imerejeya nchini Burundi ikiwa imeipa heshma nchi ya Burundi baada yakushinda tunzo la SICA,mashindano ambayo yalizikutanisha nchi za Africa na zingine kama waarifiwa.Mwanadada Emelance Emy NIWIZERE,SIMBAVIMBERE Bruno Member na Edouige MBONIMPA wamefika leo hiyi wakija na tunzo hilo ambalo ni muhimu sana nchini kwetu.Emy amechukuwa tunzo la Video bora(Trophée Sica Meilleur video 2012).Walipo fika tu kitu cha kwanza tulichokihitaji kutoka kwao ilikuwa.
AH & Emy |
AH:Ni zipi hisiya zenu?
E.E.M:Tunafurahi sana kuona tumefika salama,pili tunayo furaha isio kuwa namfano kuona tumeshinda kwenye mashindano yenyewe,ni sifa kwa nchi yetu,na imetupa fursa yakujipanuwa zaidi.Tunashkuru sana Serekali ya Burundi kutupa fursa hiyi,na wengine wawafanyiye hivo kwani 'Akanyoni katagurutse nikamenya iyo bweze',akimaanisha 'Mguu uliotoka umebarikiwa'.Amekuwa Mwanadada wa kwanza Mrundi ambae ameshiriki kwenye mashindano hayo nakujishindiya tunzo hilo.
![]() |
Emelance Emy,Mshindi wa Best video ya Sica 2012 |
-Kumbukumbu:
*2009:Steven Sogo alishiriki na akashinda nyimbo bora 'Il est beau mon pays'
*2010:Albert Kulu
*2011:Shazzy Cool Harera
*2012:Emelance Emy,ameshinda video bora 'Yambogorera'
Hongera sana Emy...
RépondreSupprimerMungu akujalie mwanadada ndugu yetu na sisi tupo pamoja nawe! Hiyo iwe mfano kwa wengine na wenyew wazidishe juhudi zao hata kama naelewa kazi hiyo na hali ya kiuchumi ya inchi yetu ni ngumu ila kama wanavyo sema: akagumye bagumako, kazana na juudi katka kazi zenu na mtafanikiwa inshaa'ALLAH!
Supprimerbwana amidu hassan, fresh sana kwa kutu peperushia news kama izi nzuri sana. na usichoki kutu fahamisha habari zingine.na mwenyezi mungu hakudjaliye amin.
RépondreSupprimerAmin kaka,nashkuru sana....
Supprimer