Home »
» Big Farious:"Kumetokeya tatizo la ndege kwa hiyo siji tena leo"
Big Farious:"Kumetokeya tatizo la ndege kwa hiyo siji tena leo"
Written By Unknown on mercredi 28 novembre 2012 | mercredi, novembre 28, 2012
Mwanamuziki MUGANI Desire a.k.a Big Farious ambae leo hiyi saa moja ya usiku alikuwa anasubiri na washabiki wake wengi ameniandikiya ujumbe mfupi kwenye sim ujumbe huyo ukisema:"Vipi Mzee,kumetokea tatizo la ndege kwahio sikuji tena leo,ila naweza nikaja ijumaa insha'allah."Habari ndo hiyo...
nice man , one day i m gonna be like a u man
RépondreSupprimer