Ouganda cecafa tusker challenge cup:"Burundi 1 - 0 Tanzania" - Kora Entertainment
Home » » Ouganda cecafa tusker challenge cup:"Burundi 1 - 0 Tanzania"

Ouganda cecafa tusker challenge cup:"Burundi 1 - 0 Tanzania"

Written By Unknown on mercredi 28 novembre 2012 | mercredi, novembre 28, 2012



Jioni hiyi ya leo mashindano ya Cecafa Tusker Challenge Cup Burundi ilikuwa ni zamu yake yakuipokeya nchi ya tanzania ikiwa ni siku ya pili ya mashindano hayo.Burundi ilikuja juu ya Tanzania asilimiya kama 60 kwani walizipata na fasi zakufunga ila umaliziyaji ndio ulikuwa mbovu.Yamin Selemani,nahodha wa timu ya taifa alionyesha kiwango chaju,kiwango kikubwa sana,yaonekana kweli anahamu pia nawenzake Burundi mwaka huyu ichukuwe kombe hilo kwa mara yake ya kwanza.Nassim Lofti,Coach mkuu wa Intamba Murugamba amejivuniya ushinde huyo nakusema kwamba hiyi match ya leo ni mwanzo,anaimani ya kuwa kikosi chake kitafika mbali sana kwenye mashindano hayo.
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News