Asubuhi hiyi ya leo kwenye nyakati za saa tano asubuhi ndipo kamati tendaji ya mashindano ya Primusic yameufanya mkutano na Waandishi wa habari kwa niya yakuwapasha habari kuhusiyana mpangilio mzima wa mashindano hayo mwaka huyu wa 2012.Yote walio yazungumza ilikuwa ni kukata mzizi wa fitna kwenye maswali kem kem yanayo ulizwa na mashabiki wa mziki nchini hapa hata ulimwenguni piya.Kampuni Brarudi kupitiya kinywaji chake Primus ilichukuwa fursa mwaka huyu kusapoti muziki na Wanamuziki wa nchi ya Burundi,ni mara ya kwanza kufanyika na mashindano yenyewe yameleta changamoto na sura nyingine mpya kwa muelekeo wa muziki nchini hapa,hivo basi gwaride ndefu ilifanywa yakutembeleya mikoa yote ya Burundi kusaka vipaji vya wanamuziki ili kati yao wale wanao vipaji waweze kuwezeshwa na ndio kwa maana walianza nakuwapa na fasi waimbaji waweze kujiorodhesha ili washindane na watakao weza wapewe shavu ili baadae wabadili maisha yao.Alichukuwa fursa nyeti mwanamama ALINE ambae anajihusisha na mpangilio mzima wa biashara(Marketing) nakuweza kuchapa na kuweka hadharani atuwa kwa atuwa mizungu uko walio ifanya kwakuzuru mmikoa yote ya Burundi,Kuwatangaza rasmi waimbaji 12 ambao toka Jumaa tatu wamechukuwa kambi Mutanga Nord kwakujinowa wakiwa pamoja na wakitumiya alaa(Instuments).Ni jambo lakufurahiya kwani Mwanamuziki bila kujuwa kutumiya alaa huo anakuwa bado hajatambuwa kazi anayo ifanya.Alikumbusha vile vile ya kuwa imefikiya wakati mbadala kwa raia kuweza kuwapa kura wanamuziki hao 12 kupitiya ujumbe mfupi(SMS) na internet,bila kutenga 50% ambazo zinasaliya kwa Wachakachuwaji(Membres du jury).Alimaliziya nakukumbusha kuwa Primusic ni fikra ilio kuja kubadili muelekeo wa mziki na kubadili maisha ya wanamuziki nchini hapa.Watakuja kuitowa sapoti na kuwapa raia burudani tosha Wanamuziki wakimataifa kutoka Burundi Kidum na Big Fizzo,Fizzo atafika Ijumaa kesho jioni na Kidum atafika siku ile ile ya concert tarehe 2/December.
Horodha ya wanao shindana kwenye robo fainali:
Yakuzingatiya kwa ufupi:
Kuanziya mdaa huyu mwaweza kuwapa kura wanamuziki hao kufwatiya namba ambazo mnakazo ona mbele ya majina yao.Na kura hizo mtakazo zitowa zitaisabilika hadi Jumaa mosi saa sita usiku(Minuit)kabla washindane robo fainali Mkoani Kirundo siku yaa Ijumaa pili.Na mtapewa tena horodha ya kuzitowa kura zenu baada yakuwatambua washindi 6 wa nusu faina na wao muwape kura zenu hivo hivo.Watakuwepo akipendamungu Waimbaji Big Farious na Kidum kuwashindikiza hao wanakao shindana,na itakuwa ni tofauti kwa wanao shindana kwani mwanzo ilikuwa kuziskiliza sauti zao alafu wanawapa alama(points),ila imefkiya sasa wakati muafaka wakuzitumiya alaa(Intsruments),kazi ipoo...Wa 6 watakao pita watashindana kwenye nusu fainali Gitega tarehe 9/December,na 3 watakao shinda wapepetane fainali Bujumbura tarehe 16/December/2012.
*1/4 final:Wa 6 watakao aga mashindano kila mmoja atapata bahasha ya pesa laki moja(100.000frsbu)
*1/2 final:Wa 3 " " " " " " " " " laki mbili na nusu(250.000frs)
*Fainali: 1) 10.0000.000frsbu
2)5.000.000frsbu
3)250.000frsbu
Ndio tunzo hilo la Mshindi wa kwanza... |
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !