Home »
» Tanzania:" Happy birtday Ali Kibaa"
Tanzania:" Happy birtday Ali Kibaa"
Written By Unknown on jeudi 29 novembre 2012 | jeudi, novembre 29, 2012
Leo ni sikukuu ya kuzaliwa ya msanii wa Bongo Flava aliyevunja rekodi ya kufanya show nyingi nje ya nchi, Ali Saleh Kiba ambaye amefanikiwa pia kuingia kwenye kundi la One8 Group ambapo walifanikiwa kutoa single inayoendelea kufanya vizuri katika vituo mbali mbali vya Radio na Televisheni duniani.Blog hiyi inakutakia mafanikio mema katika maisha na muziki kwa ujumla...
Enjoy ur day, my bro!..
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !