Kora 2012:"Kidum,Chris Dizzo & Seraphins songs wanawaomba kura zenu jamani..." - Kora Entertainment
Home » » Kora 2012:"Kidum,Chris Dizzo & Seraphins songs wanawaomba kura zenu jamani..."

Kora 2012:"Kidum,Chris Dizzo & Seraphins songs wanawaomba kura zenu jamani..."

Written By Unknown on jeudi 29 novembre 2012 | jeudi, novembre 29, 2012



Burundi kama mnavyo fahamu kwa mara yakeya kwanza imepeta fursa yakuwa kati nchi ambazo zitakuwa na Wabalozi wake kwenye mashindano ya Kora 2012,mashindano yatakayo fanyika nchi Ivory Coast December 29 mwaka huyu,Wabalozi wetu kutoka Burundi nawao ikiwa ni Kidum,Chris Dizzo na Seraphins Songs wazihitaji kura zenu kupitiya internet ambazo zitawalindiya heshma na kuwapa nafasi nzuri yakujiandikishiya alama nyingi chini ya pasenti 50 (50%).Kuchagua kupitiya ujumbe mfupi (SMS) itawapa alama nyingi chini ya pasenti 15(15%),kupitiya YouTube Channel KoraAwarsTV itawapa nafasi nzuri yakushinda ao kupata alama nyingi chini ya pasenti 5(5%).Sasa jamii nzima kutoka  Burundi,Ulimwenguni Blog yetu hiyi kwa niya moja inawaomba muwape sapoti Wabalozi wetu,atakae shinda mwa hao itakuwa ni sifa kubwa sana kwa nchi yetu.Tulipo kuwa jana siko tulipo kuwa leo,tuzidi kuwapa shavu hapana shaka kama mambo kesho yatakuwa mazuri zaidi.

 Best gospel Group

  Seraphins song's,wamechaguliwa kupitiya nyimbo ' Impundu'  
Best Male artist toka East Africa

  KIDUM Feat Sana,amechaguliwa kupitiya nyimbo yake 'Mulika mwizi'

  Chris Dizzo,amechaguliwa kupitiya nyimbo 'Aisha'

N.B:Wachaguweni kupitiya 'www.koraawards.org'.
Share this article :

1 commentaire:

Commentaire

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News