Conference de presse
imekuwa tarehe 3 sunday 2013
hapo bujumbura- Burundi kwenye ukumbi wa Kwa VYISI Kanyosha, tumeshiriki kwenye hiyo conference ambao msani huyo Aboubakar Kalume AKA Sat-B, amewakusanya wahandishi na watangazaji wa habari tofauti, alitaka kuzungumzia kuusu Album yake mpya aliyo itolea uko uganda "Reka Mbege" pamoja na mkataba haliyo chukuwa na Bukiv Label (Dj Jackson).
album hiyo ina nyimbo 12 , zilizo tolewa ni nyimbo 3, mwezi wa 4 wata andaa Concert Kubwa Hapa Inchini itashirikishwa na ma Big Star Wa east Afriaca, hiyo Concert niya uzinduzi wa nyimbo zilizo tolewa kama promo Only,
mwezi wa 6 ndipo itakuwa uzinduzi wa album nzima "Reka Mbege".
Album hiyo imegarimu millioni 12 za ma sh/Uganda, ndomana wameamua kutoa 3 kama promo only , na mswali mengi sat-b ameulizwa ku husu video, jibu kutoka kwa sat-B
Sat-B: Video 2 Zimeshwa lipiwa, na hivi ninampango wakwenda uganda ku shoot, na video hizo zita fanyiwa na ARK MENZ, Zimechukuwa millioni 5 za Sh/Uganda.
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !