Jintre Jiontrino Kaamua kubadili Jina
Written By Unknown on dimanche 10 mars 2013 | dimanche, mars 10, 2013
jintre jintrino: ivi nakuja kwa style mpya tena ya kipekee na kwa sasa ivi najitangaza kwa jina la Trino, kwakubadili jina hili ni kwa sababu sasa ivi nakuja na style mpya na mambo mapya.
nyimbo yangu pia itakua hewani ivi Karibuni, inamiondoko tu ya kisasa, zawadi ya mwaka 2013
nimeamua kuita Ntunkoreko inamaanisha Usiniguse, mkasa huu ni long story.
Kora Entertainment For You ita hakikisha inawawekea track hiyo.
Libellés :
Hot News
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !