Let Me Be The One is Very Soon Kwa Mashabiki Wote Wa Mziki Wa Buja
Written By Unknown on jeudi 28 février 2013 | jeudi, février 28, 2013
Kora Entertainment tuko kwa ajili yenu Mashabiki wote pande zote za dunia
leo tumeongea na Jay Fernando (Burundian Artist Diaspora) Kupitia Mtandao wetu wa Facebook, tuka muliza baadhi ya Ma swali, akatuambia ya kwamba kuna vitu vingi Ambao yuko anaandaa mashabiki wake wote kaeni mkao wa kula na akoongeza kusema ivi : Track yangu mpya Let me be the One nilio fanya na Chadia Brown kutoka norway iko tayari now, natarajia kuiweka hewani miezi ijayo.
kama una maoni yoyote tuma msg yako kupitia facebook yetu hii Kora Entertainment
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !