Yapata miaka mitatu (3) Jean Christophe Matata hatupo nae duniani...(R.I.P) - Kora Entertainment
Home » » Yapata miaka mitatu (3) Jean Christophe Matata hatupo nae duniani...(R.I.P)

Yapata miaka mitatu (3) Jean Christophe Matata hatupo nae duniani...(R.I.P)

Written By Unknown on jeudi 3 janvier 2013 | jeudi, janvier 03, 2013

Ulipo lala muwili wa Hayati Jean CHRISTOPHE MATATA...




Ilikuwa tarehe kama ya leo ambapo nchi ya Burundi ilimpoteza mmoja kati ya Waimbaji mahiri,alifariki baada ya kuzifanya tamasha kubwa kubwa katika Miji tofauti nchini South africa.Jean Christophe MATATA atazidi kukumbukwa Burundi na ulimwenguni kutokana na kazi nzuri alio ifanya ya mziki na kuacha nyuma yake ujumbe tofauti tofauti unao jenga kombaini ya Wasanii wasasa nchini Burundi.Hatujapata ripoti yeyote yakuwa atakumbukwa kama ilivyokuwa mwaka jana, wakati halaiki ya watu walikutania Kinama alipo zaliwa kwenye bonge la tamasha. R.I.P Matata...
Share this article :

1 commentaire:

  1. Kila mtu ni fursa akumbuke Mission yake na malengo ya ku umbwa kwake kabla hali ya umauti hija mfika.

    RépondreSupprimer

Commentaire

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News