Msanii wa miondoko ya RNB nchini Burundi SAL G ambae ana uhusiano wa kimapenzi (wanatoka pamoja) na MISS ERICA kwenye show ilio fanyika Tarafani Kanyosha sehemu pajulikanapo kama kwa VYISI.Dakika moja kabla yakuingia jukwani mkaba wake wakiunoni (ceinture) ulikatika ikamlazimu kuazima jama yake kwani ingelikuwa aibu kwake kama kio cha jamii kupanda jukwani na hali kama hio...Kama unavyo ona kwenye picha hio ilikua kama mshangao kwake,tuna imani yakuwa endapo jamaa yake huo angelikuwa karibu ingekuwa aibu kubwa.Ifahamike ya kuwa Msanii huo anatambulika sana kupitia bonge la pini 'No love' alio mshirikisha Queen Flo. Habari ndio hio...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !