Home »
» STAA wa filamu za Kibongo, Juma Kilowoko Amefariki Leo Alfajiri
STAA wa filamu za Kibongo, Juma Kilowoko Amefariki Leo Alfajiri
Written By Unknown on mercredi 2 janvier 2013 | mercredi, janvier 02, 2013
STAA wa filamu za Kibongo,
Juma Kilowoko ‘Sajuki’
amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili
alipokuwa anapatiwa matibabu. Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu
Wilaya ya Ilala, Rajabu Amiri ni kwamba hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa
na tatizo la upungufu wa damu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen!
Ripoti ii imefikiswa na Kwetu Bongo Page FaceBook
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !