Intamba murugamba:"Orodha ya Wachezaji watakao jielekeza nchini Kenya - Kora Entertainment
Home » » Intamba murugamba:"Orodha ya Wachezaji watakao jielekeza nchini Kenya

Intamba murugamba:"Orodha ya Wachezaji watakao jielekeza nchini Kenya

Written By Unknown on mercredi 2 janvier 2013 | mercredi, janvier 02, 2013



Pichani:Demunga,Rashid leon,Hassan.Gael,Tambwe,Steve,Lucho,Haruna,Lule,Fiston & Mc Arthur (11 walio anza match ya awali zidi ya Kenya).
Jioni ya leo Wachezaji 18 na viongozi watakao washindikiza watajielekeza Mjini Nairobi nchini Kenya kuchuana match ya marudiano ya kinyanganyiro cha Wachezaji wanao sakata gozi la nyumbani (CHAN) . Habari tulizozipata ni kuwa kikosi icho kitaondoka jioni ya leo,match imepangwa kuchezwa siku ya Jumaa-pili kinyume na siku ya Jumaa-mosi kama ilivyokuwa imetangazwa awali.Ifahamike ya kwamba kwenye orodha ya awali mchezaji Idi Saidi  Djuma alias ballack wa Lydia ludic aliondolewa na fasi yake ikawa imechukuliwa na Emery KADOGO ambae match ya awali alikuwa nchini DRC/Kinshasa kujipima kwenye timu ya Vita Club.Yamin Seleman ambae alikuwa anategemewa kuicheza match hio auliziwa nchini Sudan kwenye timu ya El Mareick,habari ndio hio...

Orodha ya wachezaji 18.
--------------------------------
1.ARAKAZA Mc Arthur /Flambeau de l'Est
2.SAIDI Tamaa /Atletico
3.HAKIZIMANA Hassan /Atletico
4.KAZE Gilbert alias Demunga /Vital'o fc
5.MANIRAKIZA Haruna alias Lucio /Flambeau de l'Est
6.NIMUBONA Emery alias Kadogo /Atletico
7.RASHID Leon /Lydia Ludic academie
8.BIGIRINDAVYI Gael /LLB ac.
9.YUSSUF Lule /LLB ac.
10.ISSA Vidic /LLB ac.
11.NKURIKIYE Leopold alias kaya /Vital'o fc
12.NDUWARUGIRA Christophe alias Lucio /LLB ac.
13.MANIRAMBONA Abdallah /Vital'o fc
14.Moussa Ally Sova /Inter star
15.NDAYISHIMIYE Christophe /Atletico
16.TAMBWE Amissi /Vital'o fc
17.ABDUL Razak Fiston /LLB ac.
18.NZIGAMASABO Steve /Vital'o fc

Coach: NASSIM LOFTI & Amars Akbar...



Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News