Chris d akiwafata washabiki zake sehemu waliopo... |
Blog yenu ilichukuwa fursa nyeti yakujiunga na Msanii CHRIS D kwenye bonge la Tamasha lilofanyika tarafani KANYOSHA kwa VYISI.Watu walikuwepo ila hawakuwa wengi kama tulivyokuwa tunasubiria,kitu kilicho sababisha nikutokana na communication ilioleta utata,kwani zilikuwa zimezunguruka habari mitaani zisemwazo kuwa hatokuwepo kwenye Tamasha yenyewe.Udogo wawatu kulinganisha na matarajio yawalio anda tamasha haikukataza Wapenzi wa Chris d,Mkomboz,Ell's boy,Pop G,Black g,Small dogg na Question g.
Msanii wa kike Miss erica hakutokea kutokana na bibi yake mzaa mama alikuwa tabani na ugonjwa.Raia walio wasili walifurahi vyakutosha kama mnakavyo ona kwenye picha hizo...Msanii huo hadi mdaa huu hajatufahamisha lini atarejea South africa.Baada ya tamasha hio tulimu uliza alivyojiskia,alitwambia:"Ni furaha isio kuwa na mfano kuona nimefanya tamasha nyumbani,imenionyesha kiwango ninacho nchini mwangu baada yakipindi cha miaka 7 nikiwa nakubalisha raia wa south,baada ya KORA mdaa muafaka wakutumika sasa umetimia,nimezipata contact nyingi za watu muhimu sana kwa upande wa tasnia ya mziki ulimwenguni."habari ndio hio...
Baadhi ya picha tulizozichukuwa.
Question G |
Pichani:Mkomboz,Black g,Kebby boy,Ell's boy & Dj Ashanti... |
Sam Over mix (MC) na Small dogg |
Sal g |
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !