Andy Cool |
Msanii mrundi ambae anaendelea kazi za mziki nchini Ubelgigi NDIZEYE Adolphe a.k.a Andy Cool ameifahamisha blog yetu hii kama mwaka 2013 lazima akamilishe ndoto zake zakungara kwenye fani ya mziki. Tulipo muhoji alitufamisha kuwa ."Hivi karibuni nataka kufanya colabo na Msani wa kike UWINYOTA Riziki alietamba na anazidi kutamba hadi mdaa huu na nyimbo yake 'Nikozubakwa' inayotetemesha wengi kupitia ujumbe alio utowa kwenye pini hio.Baada ya hio ntawakilisha video yangu ya kwanza ya nyimbo 'Humanite',niko natumika video hio na JEAN NIKAN a.k.a Moise,namuamini sana kwani anafanya kazi nzuri ya production.Baada ya hio akipenda Mungu mwezi wa february ntakuwa Holland kwenye bonge la Tamasha."Habari ndio hio...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !