Big farious:"Nimependa kuwatambulisha mdogo wangu,na mtoto wangu wa kwanza." - Kora Entertainment
Home » » Big farious:"Nimependa kuwatambulisha mdogo wangu,na mtoto wangu wa kwanza."

Big farious:"Nimependa kuwatambulisha mdogo wangu,na mtoto wangu wa kwanza."

Written By Unknown on vendredi 4 janvier 2013 | vendredi, janvier 04, 2013


AHISHAKIYE Jean pierre(Mdogo wake),MUGANI Tresor(Mtoto wa Farious wa kwanza),wote wako na miaka 13 yakuzaliwa...

Msanii MUGANI Desire a.k.a Burundiano tulihojiana nae kuhusikana na maisha yake kiundani na tukaitaji kuitambuwa familia yake na akawa ametwambia :"Mimi ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto watatu. Mama bado ninae na anajishughulisha na kazi zake zakibinafsi,wakati walipo nizaa mama alichukuwa miaka mingi kusudi amzae mtoto wa pili,jambo lililo kuwa linanipa kero sana bila kujali kuwa Mungu ndie mpaji wawatoto. Baada yakuona mama amekawia kuzaa ndio nikaanza mambo yakupendana na ndio kupata mtoto wangu wa kwanza ilikuwa mwaka 1998,kwasasa anamiaka 13,baada yakupata mtoto wangu wa kwanza mama nayeye alipita anapata mtoto wakiume anae itwa  Jean pierre AHISHAKIYE wakiwa sawa miaka na mtoto wangu MUGANI Tresor,hadi sasa mama hana tena uzazi ila baada ya JP alifatisha dada yetu ambae anaitwa  AHISHAKIYE Audiane. Kwenye familia yangu tuko mtu tatu."

*AH: Tulipenda kujuwa Farious,kwanini ulikuwa unata mama yako azae ungine mtoto?
*Fizzo: Nilikuwa nabitaka sana kwasababu nilikuwa nimeshapata wakati mwingi wakudeka,kingine ni kuwa nilikuwa naona wenzangu (entourage) kama wote wako na wadogo zao,nakosa hata wakuniomba nikampiganie sasa ilikuwa inaniuma ile mbaya. Nawapenda ndugu zangu,na mtoto wangu pia bila kumtenga ule wa mitoni,nimesha mu miss sana. Habari ndio hio...
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News