Hakuna cha ku shangaa kwani ni hatuwa ifwatayo na maendeleo kamilii ya kujivunia , kwa hiyo mashabiki wetu nyote twa waomba kila umoja azidi kumupigia kura musani wake mpendwa ili siku ya siku aweze kuhibuka mshindi na ajinyakuliye Tunzo kupitia mashindano Kora Enternainment Asanteni nyote Twa wapenda sanaa , tupo hapa kwa ajili yenu .
Home »
» Tumebadili Jina Sasa Twajitangaza kama Kora Enternainment
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !