Emery Sun : "2013 Album Yangu Ya 2 Itakuwa Tayari..." - Kora Entertainment
Home » » Emery Sun : "2013 Album Yangu Ya 2 Itakuwa Tayari..."

Emery Sun : "2013 Album Yangu Ya 2 Itakuwa Tayari..."

Written By Unknown on mardi 8 janvier 2013 | mardi, janvier 08, 2013

Msanii wakiume NIVYINDAVYI Emery a.k.a Emery Sun ametufahamisha ya kuwa hakai, anatumika vyakutosha ili siku moja aone ndoto yake imekamilika.
Tulipo muhoji kulingana na ukimia wake kwenye game la mziki alitwambia:
"Ni nana nyimbo yangu mupia ni mefanya na Liser Classic,inaitwa 'ikidodo' 
ivi niko (studio) jikoni  tena  nafanya zingine kazi,
na nimeamuwa kwanza kuachana na tamasha flani flani  (show) labda ikiwa inanifaa yani ikiwa inalipa vyakuosha, ili baada inilipe kwaju nifanyi kazi. 
Sitaki mtu wakuniweka kwenye bango (affiche) mpaka mi niseme kama nimerejea kwenye fani ya mziki,
Hivi karibuni nina mpango wakuzitowa clip videos nyingi na nyimbo za audios ili niakikishe mwaka 2013 nimesimama na album yangu ya 2."
Kora EntertainmEnt iko Kwa ajili yenu, Sikiliza "Ikido" Music  apo Chini (play)
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News