Sat-B : Sasa Msani Wa East-Africa... - Kora Entertainment
Home » » Sat-B : Sasa Msani Wa East-Africa...

Sat-B : Sasa Msani Wa East-Africa...

Written By Unknown on mardi 8 janvier 2013 | mardi, janvier 08, 2013

Msani macacari wa Burundi  sasa  Up Level , 2013 anakuja nakasi nyingi sana za kujitangaza kwenye Africa Mashariki  nae si mwengini  ni Sat-B aka Satelite ya Burundi , amezungumuziya  Team yetu ya Kora Entertainment  kazi zake gisi zinaenda yafawatayo : «  Na Kwamba Tayari Nyimbo ya mimi na Cindy  Ninayo Mkononi, na tayari nimeingia kwenye Kundi la Washington ambayo inakuja kwa jina la « Wise Man » Ndani yake kuna Kitoko, Urbun Boys, Rider Man, Washington na Bolo, pamoja na mimi, Tumeanza kutumika nyimbo ya hiyo Group Itakayo kuja kwa jina la « Tanganyika Girl »  just nikimsubiri Kitoko atoke Ubelgigi (Belgique) kisha tufanye naye nyimbo,na ivi kwa sasa nina Appointment  na Weasel & Radio (Good Life) Ili Tufanye Nao Kazi Ambayo itakayo kuja kumalizia Safari yangu nchini Uganda .  » Team ya Kora Entertainment inamutakiya mafanikiyo mema. 



Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News