Ssmwalimu,Msanii mrundi ambae aendeleza kazi zake za mziki nchini Africa ya kusini... |
Msanii mrundi ambae anaendelea vizuri na kazi ya mziki nchini Africa ya kusini(South africa) anae julikana kwa jina la SsMwalimu ametufahamisha kuwa:"Baada yakuchia single yangu ya 'nyinawabana' na 'am back on the 'game pamoja na video ya 'peace',kwasasa inafanya vyema east africa hata hapo Burundi,niko busy naku recodi full album ambao itasimama kwajina la 'Nyinawabana',baada ya hio ntapita najiaanda kuja Burundi kuzindwa album baada yakuizinduwa hapa south africa kwenye Miji tofauti kama Cap town,Johanisburg,Durban na Pretoria."
Ssmwalimu akiwa jukwaani anapafomu... |
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !