Pichani CHRIS na timu ya Ikho Multisrvice... |
Mwanamziki NKEJIMANA Herve a.k.a Chris d jana usiku saa saba ndipo alisafiri kuelekea nchini Ivory coast kuwakilisha nchi yake ya burundi kwenye mashindano ya Kora 2012.Habari tulizo zipata ni kuwa alifika leo hii mida ya saa tano na nusu(11h30),alikabiliana na tizo lakukosa kitabu kinacho ashiri afya(Carte de vaccination),alipata bahati kwani wanao anda tamasha hilo walipita wanajielekeza uwanja wa ndege na wakawa wamerekebisha mambo,mdaa huu ameshasafirishwa kwenye hotel.Ifahamike ya kwamba Burundi itawakilishwa na Kidum-Chris d kwa upande wa Best male atist in East africa;huku kundi la Seraphim's songs kwa upande wa Best gospel group in africa.Watatangazwa Washindi siku ya jumaa mosi tarehe 29 December.
N.B: Jana walisafiri Chris d na kundi la Seraphim's songs,Kidum yeye atasafiri leo hii...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !