Home »
» IKINYAMUGIGIMA Concert itakuwa apo NGOZI
IKINYAMUGIGIMA Concert itakuwa apo NGOZI
Written By Unknown on vendredi 28 décembre 2012 | vendredi, décembre 28, 2012
Siku
kuu ya ku sherekea mwaka mpya imeanza kunukia nukia,zikiwa zimesalia siku ndogo
tu,mwanamuziki toka nchini hapa Sat-B ameanda
tamasha litakalo fanyika kwa niabayenu nyinyi washabiki wa mziki wa
burundi ana wahidi
kuwarusha roho kwenye bonge la tamasha hilo. Kwenye Tamasha hio
watakuwepo vile vile Wasanii kama Itakuwa pale tarehe 01/JANUARI kuanzia saa mbili za usiku hadi asubui . Walio kuandalieni Tamasha
hilo ni pamoja na Dj Jackson kutoka Swede. ki ingilio ni pesa 2000frsbu, na imepangwa kufanyika sehemu panapo itwa 'BELVEDERE NGOZI'
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !