Mcmello akiwa studioni mjini Ottawa... |
Msanii Mrundi NGENDANGEZWA JAMAL a.k.a Mcmello Mclove ambae alizaliwa nchini Burundi,Mkoani Karusi anazidi kufanya vyema nchini CANADA.Juzi juzi tu,alitufahamisha kupitiya ujumbe mfupi kuwa mwaka 2013 anataka aunze na kasi isio kuwa na mfano.Kwasasa yuko anatumika vyakutosha kwakumalizia malizia pini zake mypyana hivi karibuni atakuwa mgeni kwenye moja kati ya Television ya Mjini Ottawa.Alitwambia:"Tarehe 5/January ntatembelea TV ina itwa Malaika TV uku Canada city Ottawa.... taenda kutowa video yangu Mpya itapitia kwenye TV Malaika..na kwakuzungumza maisha yangu.. gisi nilianza Music.. gisi niko natumika kwa album yangu itatoka 2013 ..na mambo mengine about music ninakao ufanya."Aliongeza kusema:"Kwa mdaa huu niko kwenye mazoezi makali ya kuingia nchini Burundi kufanya kazi na Wasani wa Burundi na Rwanda na hatimae kufanya kazi na bonge la Producer nchini Uganda(Washington)..."
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !