Showbiz & Oxygen leo hii wame endesha mkutano na waandishi wa habari... - Kora Entertainment
Home » » Showbiz & Oxygen leo hii wame endesha mkutano na waandishi wa habari...

Showbiz & Oxygen leo hii wame endesha mkutano na waandishi wa habari...

Written By Unknown on samedi 29 décembre 2012 | samedi, décembre 29, 2012

Watangazaji flani flani mchana wa leo kwenye Press conference.
Pichani DJ UV kutoka Kenya akifafanuwa mipango ya Shirika la Showbiz na Oxygen nchini Burundi...
Jioni ya leo Shirika mbili kutoka nchini Kenya (Showbiz & Oxygen) wameundesha mkutano na Waandishi habari kwenye ukumbi wa havana Night club. Mazumuni ya mkutano wenyewe ilikuwa kuwapasha habari watangazaji kama chombo maalum kwa jamii kuwajuza raia mipango kamili watayo ifanya nchini Burundi kwa mdaa wote watakao salia hapa,vile vile walizungumza kuhusikana na mpangilio mzima watamasha mbili za mkesha wa mwaka mpya watakazo zifanya nchini tarehe 31/December/2012 (Evolution Beach party) na tarehe 1/January/2013 (New year Family fun day). Tamasha hizo zitaendeshwa na wa Dj's 3 kutoka sehemu flani flani kama:
-Dj VEY kutoka Italia
-Dj UV kutoka kenya
-Dj DAN kutoka DAN kutoka Kigali.

Dj VEY(Italia) & Dj DAN(Kigali).

Sherehe hizo zitafanyika kwenye BORA BORA BEACH. Wameahidi kuwa watazifanya tamasha,wataanda vitu vingi nchini kwa nia moja yakukuza tasnia ya mziki na utamaduni kwa ujumla (Industrie musicale).
Pichani: Boaz(Bonesha fm),Member(Kiongozi wa Baraza la Wanamziki nchini Burundi),Paggio Patrick(RPA)

*Evolution Beach Party                                     *New year family Fun Day
--------------------------------                                      ----------------------------------
Siku:Jumaa-tatu                                                 Siku: Jumaa-ine
Saa: saa 3 usiku hadi saa 4 asubuhi.                 Saa : saa sita mchana
Ki ingilio: 10.000frsbu.                                       Ki ingilio : 5000frsbu
Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News