Home »
» Kora 2012:" Tunzo za kora Awards 2012 zitatolewa Jumaa-tatu(Lundi).
Kora 2012:" Tunzo za kora Awards 2012 zitatolewa Jumaa-tatu(Lundi).
Written By Unknown on samedi 29 décembre 2012 | samedi, décembre 29, 2012
Fainali ya mashindano ya Kora Awards2012 yalikuwa yamepangwa kufanyika leo nchini Ivory Coast (Cote d'Ivoire) yameahirishwa nakusogezwa hadi siku ya Jumaa-tatu tarehe 1/January/2013 kwasababu ambazo hadi mdaa huu hazijaeleweka.Ila mimi kama Mhariri wa blog yenu hii nafkiri kuwa kutokana na isabu za kibiashara (Tarehe 1 ni siku ya New year,mashindandano niyakimataifa,yanakuanya Wanamziki wengi toka pembe zote za dunia,sasa kivyangu naona kuwa wamefkiria kusogeza mbele ili wajipatie watu wengi siku hio). Tunzo zitatolewa Jumaa-tatu,ila Tamasha ya amani barani africa iliokuwa imepangwa kufanyika haikubadilika ni kesho tarehe 30 kama unavyo ona mpangilio mzima kwenye bango hilo.Chris Brown na P Square watatimuwa vumbi.tamasha ya Chris d iliokuwa imepangwa kufanyika tarehe 1/January imesogezwa mbele,tarehe hadi mdaa huu haijafahamika.Kidum itakuwaje kwani iko na tamasha jijini dar es Salaam ifikapo tarehe 31/December/2012. Itaendelea...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !