Tamasha hio haitokuwa tena,imehairishwa... |
Baada yakupeperusha matangazo kupitia mitandao yaki jamii na kutangazwa kwenye radio na television tofauti nchini Burundi.Msanii BIZIMANA Aboubakar Karoume a.k.a Sat b,a.k.a The Independant ametufahamisha kupitia ujumbe mfupi wa sim kuwa Tamasha aliokuwa amepanga kwakuitangaza nyimbo yake 'Ikinyamugigima' Mkoani Ngozi ame ihairisha nakuipanga siku nyingine.Alitwambia kupitia ujumbe huo mfupi kwa maswali flani flani tulio mu uliza:
Sat b: Oyo slm alkm nimefika Kampala yani nasubiri kufanya kazi mzee tarehe 31 big concert kisha baadae nafanya kazi kwa Washington.
AH: www,sasa vipi mbona nimeona affiche ya belvedere,inakuwaje hutokuwa tena?niwekee uwazi bro,nataka niandike vitu vya uhakika?
SAT B : Unaona braa mpangilio(programe) imebadilika (change),kwani huku kazi nyingi mno yani tumekosa muda waku teremka tumevunja(annuler) ya Ngozi na sasa punde tu ninaonana na Weasle & Radio tufanye kazi baadae tarehe 3 nifanye na Cindy kisha niteremke Buja nauhakika wakuwakilisha nchi yetu vilivyo huku...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !