Home »
» Rwanda nawao wameanda Tamasha yakupokea mwaka mpya wa 2013...
Rwanda nawao wameanda Tamasha yakupokea mwaka mpya wa 2013...
Written By Unknown on dimanche 30 décembre 2012 | dimanche, décembre 30, 2012
Katika shambra shambra zaku upokea mwaka mpya 2013.Mpangilio mzima soma hapo kwenye bango.Ila swali linakuja?Kidum tunamuona kwenye bango hilo atakuwepo ao hatakuwepo? Swali hilo linakuja kwani Mwanamuziki Kibido Kidum yupo Ivory Coast kwenye mashindano ya Kora 2012,watawatangaza Washindi ifikapo tarehe hio hio.Je! Atakuwa Kigali/Rwanda ao atasalia Ivory Coast?
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !