|
Picha Hapa Ni Design ya wimbo wa Jewe Nawe |
Mwana dada ambae anae fanya vizuri kwa sasa
Keza Bikiyo akishirikiyana na
GuyRaps RaMa King wa nyimbo za kutikisika kwenye Mtindo wa
RaMa Style (Dance Hall) Very Soon wata achiya Zawadi ya mwaka wa 2013 kwa wadawu wote wa Muziki, ya Wimbo wao unao kuja kwajina
Jewe Nawe ( Mimi Nawe) yenye maneno ya malavidavi yalio kwenda shuule , itakuwa kwenye Centuri (album) yake
NDAGUSHIMA, kaa chonjo utaipata hapa hapa.. Fahamu kuwa Hayawi hayawi sasa yamekuwa
Serious Man Video Clip iko tayari usiku wa makesha ya mwaka mupya 2013 unaipata hapa. Enjoy YourSelf
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !