kuna bifu kati ya producer pistols Beat, Weezy Bro na Sivana (Mwimbaji Gospel Nchini Sweden) - Kora Entertainment
Home » » kuna bifu kati ya producer pistols Beat, Weezy Bro na Sivana (Mwimbaji Gospel Nchini Sweden)

kuna bifu kati ya producer pistols Beat, Weezy Bro na Sivana (Mwimbaji Gospel Nchini Sweden)

Written By Unknown on lundi 31 décembre 2012 | lundi, décembre 31, 2012





Kwa wale wapenzi wa mziki wa Burundi Blog yetu hii ilipenda kukufahamisheni kuwa kuna bifu iko kati ya Producer Pistols Beats,Msanii Weezy bro na Sivana akiwa anafanya kazi nzuri akiwa Sueden.Kisa na maana ya bifu hio nini hasa?

* -Ni kuwa Msanii wa kike *Sivana* anapokuwa anahitaji kutowa nyimbo huwa anamuomba *Pistols Beats* amtengenezee beat kisha baadae anaingizia sauti akiwa Ulaya,habri alio tufahamisha Msanii huo ni kua hakuridhishwa na mwenendo wa Producer wake huo na Msanii *Weezy bro* kutumia beat yake nakuitowa nyimbo.Alitwambia:"Ni jambo la hudhuni sana kuona producer wangu ambae ninaemtegemeya sana kwa upande wa production wa nyimbo zangu anaipana beat nilio muomba anirekebeshie,imeniuma kuiskia kwa msanii mwenza amei imbia ndani sio vizuri." Blog yenu haitochoka kuwatafuta ili kujuwa undandi zaidi wa habari hii. Itaendelea...

NB:Nyimbo hio tayari inatamba kona zote inasimama na jina 'IKIKUNYIMA'
Share this article :

1 commentaire:

  1. lol c de la merde si wizy a du fric et que l autre parle a un millio de km mrd un million c quoi pour wizy havuga inoti

    RépondreSupprimer

Commentaire

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News