|
Fizzo wakiwa wanakatika pamoja mziki na Mkomboz |
MUGANI Desire a.k.a Burundiano,a.k.a Big Fizzo,a.k.a Farious,a.k.a General,wengine siku hizi wanamuita
Amiral tulipata fursa yakuongea nae kuvitu ambavyo anavyopenda katika maisha yake ya usanii,hakusita kutwambia kuwa yeye kama mwanamuziki anapenda sana kuskiliza mziki na mara nyingi huwa anapenda kuambukizana furaha na wenzie,kama sio wasanii wenzake basi niwashabiki zake na mara kwa mara hata watangazaji presenter.
|
Pichani: Big farious,Mkomboz na Yvan muzika... |
Alitwambia:"Lazima niwe na wenzangu pamoja,wakati mnapotoka pamoja kwa kwenda kufurahi hapana shaka kuwa kuna idea flani flani ambazo zinakuwa zinaongezeka,mimi binafsi nyimbo zangu nyingi naziandika wakati nikiwa na jamaa,hasa hasa watangazaji kwani wao wanayo connection ya moja kwa moja na mashabiki,na bila washabiki sisi hatuwezi kuwepo,na ndio maana yake kutoka usiku kwenda Club kwangu ni vizuri sana,nakuwa najipanuwa zaidi sasa watu wasiwi wananichukulia kivingine."
|
Franck toka kund nzima la Generation 80 pamoja na Fizzo |
|
Wakati na kapokua club sibaguwi si chaguiwi kila anaependa tuchangie tunachangia... |
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !