Tuna anza nakuomba samahani kwa habari tuliokuwa tumeicha asubuhi ya leo kuwa tunzo za KORA AWARDS zitatolewa leo jioni ni kuwa kwa habari rasmi tulizo zipata kupitia Msanii CHRIS D(+222507747392) ambae alikuwa kama balozi wa Burundi.Nchi yetu inakuwa mara yake ya pili kujiandikia historia kwa upande wakushiriki kwenye mashindano ya KORA baada ya Msanii wa kike Kadjanine kujishindia tunzo hilo miaka ya 90.Mashindano ya KORA yamekwenda kinyume na mategemeo ya watu.Majarida,paparazi,vituo vya television na radio nchini pale hawakusita kuponda matayarisho mabovu ya Tamasha yenyewe.
Picha hio ilichukuliwa jana usiku,watu walio hudhuria walikuwa niwachache mno... |
Ki ukweli haikwenda sawa tukilinganisha watu gisi walivyo susa kujielekeza kwenye uwanja wa Felicia a.k.a ya uwanja mkubwa wa mpira wa FHB,sambamba na kwenye ukumbi wa Hotel ambapo walitangazwa Washindi bila kupewa tunzo zao.Hali ilikuwa sio rahisi kwani apo awali walitangaza Tamasha itafanyika tarehe 29/December kisha baadae kuamishwa hadi tarehe ya jana,ila unakapo chakachuwa zaidi site web ya www.koraawrds2012.com unaona kwamba kuna hali ya sintofahamu,bitu bimeparanganya.Tukizunguruka nakuzisoma habari tofauti tofauti kupitia jarida za nchini Ivory coast ni kuwa wanazungumza kuwa raia hawakuwa na uwezo wakulipa tiketi ya ki ingilio ambacho haikuwa rahisi kwa raia wa Ivory coast ambao walitoka kwenye mchafuko wa vita ilio sababisha vifo vya watu wengi nchini pale.
Uwanja ulikuwa bure,watu wachache njo wali ingia... |
*Kwenye uwanja wa mpira(Stade):15000Fcfa(Euro 22) na 200.000Fcfa(300Euro)
*Kwenye ukumbi: 50.00Fcfa(76Euro) na 1.000.000Fcfa(1500euro).
Walitangaza washindi jana usiku kwenye ukumbi ambao ulikuwa hauna watu wengi kama walivyokuwa wanasubiria.Burundi ilishinda kwenye Category 2.
*Best male artist in east africa: 1.KIDUM Jean-pierre NIMBONA 67 %
2. NKEJIMANA Herve a.k.a Chris D 53 %
3. ALIKIBAA 51 %
*Best Gospel group: SERAPHIM'S SONGS 48 %
N.B:Kwa habari kamili tulizo zipata ni kuwa Kidum hayupo nchini Ivory Coast inasemekana ya kuwa alichelewa ndege na iyo ikamsababishia kuchelewa kusafiri kwenda kule.
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !