Home »
» CHRIS D:"kesho mida ya saa tano ntakuwa Bujumbura"
CHRIS D:"kesho mida ya saa tano ntakuwa Bujumbura"
Written By Unknown on lundi 31 décembre 2012 | lundi, décembre 31, 2012
Baada yakuwakilisha burundi kwenye mashindano ya Kora 2012 nchini Ivory Coast,Msanii CHRIS d ametujulisha kupitia sim kuwa kutokana na maandalizi mabovu ya mashindano alikuwa awasili leo mchana ila kutokana na tatizo la ndege kubadili ratiba ilimlazimu kuchukuwa ndege nyingine . alitwambia:"AH nakwambia uku Abidjan ni vurugu ya hatari,Bank zimefungwa,ndege zakuja pande zetu hakuna imenilazimu kuchukuwa connection nyingine.Nta anza kwenda Accra/Ghana,kisha nipitie Nairobi/Kenya alafu kesho mida ya saa tano akipenda mungu ntakuwa Bujumbura.Washabiki zangu msiwi na hofu kesho tutakuwa pamoja kwenye tamasha tarafani kanyosha,kwa Vy'Isi."
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !