Sat b akiwa kwenye chumba alichofikia mjini kampala... |
Msanii BIZIMANA Aboubakar Karoume a.k.a The Independant,a.k.a Sat b,siku hizi Washabiki wakiwa wanamuita General anaendelea vizuri nchini Uganda.Kwa habari alizotwambia ni kuwa:"Mimi kwasasa naendelea vizuri nchini Uganda,nimeshamaliza nyimbo moja pamoja na Msanii wa kike CINDY,tumetengeneza nyimbo inatwa 'She is fashion' kwake washington mmoja kati ya wa best producer barani Africa.Mziki uku ni kazi,ujumbe warambi rambi kwa wasanii wenza ni kuwa wajifunze sana lugha ya kingereza.Nyimbo moja kwa Washington inagharimu pesa milioni moja na nusu(1.500.000shilings),kama laki nane za burundi unaskia sio utani."
Pichani:Sat b na Washington... |
Aliongeza nakusema:" nasubiri nifanye kazi na Washington kisha niteremke nyumbani."
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !