Msanii
MINANI Philipo a.k.a Dj philip ambae anaendelea kufanya vyema kupitia kazi yake ya mziki maandishi matatu(USA) alitufahamisha kuwa yuko amemaliza tayari kuzichukuwa picha zitakazo kwenda sambamba na video yake ya pili 'Akana ka mabukwe' baada ya 'True love' alioshirikiana na
Jay Ramy.Msanii huo kwa habari alio itufahamisha ni kuwa anaamini kuwa nyimbo hio iliotuma afahamike pembe zote za dunia itazidi kumtambulisha zaidi nje na ndani ya USA.Alitwambia:"Kwa kweli sina hofu kama video hii ya pili itafunika na itazidi kubaki kwenye chat ya video bora ulimwenguni,tulijitaidi kupita sehemu mbali kwa nia moja yakupendezesha video yenyewe."Alimalizia:"Mwaka 2013 nataka ni akikishe nimesimama na video ya audio ambazo nilisha wakilisha kwenye foleni ya mziki."Mkae mkao wa kula video ya 'Akana kamabukwe'itawafikieni hivi karibuni...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !