|
Farious & kidum wakiwa kwenye jukwa pamoja. |
Tarehe 16/December/2012 kwenye shule la EFI NYAKABIGA ao Lycée Scheppers ndipo patakapo fanyika mashindano ya fainali ya primusic 2012 ambapo watapambana wanamziki 3 pakiwemo SAMANTHA,RALLY JOE na PATIENT ambao walijikatiya tiketi yakushiriki fainali Jumaa pili iliopita Mkoani Gitega.Wanamziki hao mnakao waona pichani kwa ushirikiyano na Yoya,Mkomboz na kundi nzima la Peace & Love watakuwa wageni rasmi kuwakonga nyoyo na baahi ya nyimbo zao.
|
alitombolesha piki piki mama huyo wa Gitega... |
Ifahamike ya kwamba Brarudi inawapa fursa wanywaji wa kinywaji Primus kujipatiya bahati ya kutombolesha zawadi mbali mbali,kama tulivyo shughudiya Mkoani Gitega mama flani aliye jipâtiya bahati yakutombolesha 'piki piki aina ya Tvs'.Timu nzima ya Brarudi inawaomba kufika kwa wingi kwani kuingiya ni bure...Msikosi.
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !