Home »
Bdi Beat Shows
» Bahame Isaac:"Tumekuandaliyeni Event after party"
Bahame Isaac:"Tumekuandaliyeni Event after party"
Written By Unknown on mardi 11 décembre 2012 | mardi, décembre 11, 2012
Mmoja kati ya vijana wanao jituma sana kwa kukuza tasnia ya muziki na utamaduni wa Burundi barani ulaya,Bahame Isaac alias Newton kwa ushirikiyanoDj ft Dj Hamzizi wanakuandaliyeni bonge la Event linalo kwenda na jina:"Event after party",kwa maelezo zaidi kuna namba na contact tofauti tofauti hapo juu kwenye bango hilo...
Libellés :
Bdi Beat Shows
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !