Small Dogg (burundi beat) |
Msanii chipukizi,mwenye style za kipekee GUSENGA ISRAEL PETER a.k.a Small Dogg,a.k.a Youda Escariote,a.k.a Le Pygmé ameongeya na Blog yetu hiyi nakutuwekeya wazi kuwa:"Mwaka 2013 utakuwa mwaka wangu wakuvuma,nimeikaa sana kimya ila ndoto zangu zinanionyesha kama ntawika vyakutosha.Kwa mda huyu nafwatiliya mpango mzima wa masomo yaani kwasasa niko nafanya mitihani kwanza nitrakapo maliza nitaanza mpango mzima waku shoot nyimbo zangu kama zote kwa ushirikiyano na vijana wenye uzowefu sana kwenye fani hiyo pamoja na Kent-P & Hugues Bana.Leo hiyi tutafanya nao wote wawili mkutano ili tuweze kupanga mpangilio mzima.Bado ningali mtoto kwenye game kutokana na ushauri na kujituma kwangu sina hofu kama ntafika mbali."
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !