Home »
» Primusic 2012:"Watakao shindana kwenye nusu fainali tayari wamefaamika."
Primusic 2012:"Watakao shindana kwenye nusu fainali tayari wamefaamika."
Written By Unknown on lundi 3 décembre 2012 | lundi, décembre 03, 2012
Mashindano yalifanyika hapo jana kwenye uwanja wa mpira wa Mkoa wa kirundo,walipambana wanamuziki 12 na kati yao wakawa wamepita wanamuziki 6 ambao watashindana kwenye nusu fainali Mkoani gitega Jumaa pili ijayo yaani tarehe 9/December/2012.
-Samantha
-Patient Matabaro
-Kiki Toure
-Rally Joe Niyinzi
-Mister Land
-Aletta
Hao ndio washindi kwenye robo fainali,wengine 6 waliaga mashindano na kila mmoja akapewa bahasha ya pesa laki moja.Walikuwepo wageni rasmi kwenye tamasha hilo Kidum na Big farious ambao walirusha vumbi na kukonga ile mbaya walio hudhuriya hapo.Habari hiyi itaendeleya kwani pako mambo mengi ambayo tatayaweka hadharani...Na vile vile washabiki wa Farious mtapata kujuwa mengi kuhusu msafara alio ufanya Kirundo,yote kesho akipenda Mungu....
ninaiona birikuwa bara bwana asante kuja unatupa matokeyo sisi tuko inje ya ichi
RépondreSupprimer