Home »
» Ouganda:"Bye...bye Burundi kwenye mashindano ya Cecafa Tusker Challenge Cup."
Ouganda:"Bye...bye Burundi kwenye mashindano ya Cecafa Tusker Challenge Cup."
Written By Unknown on lundi 3 décembre 2012 | lundi, décembre 03, 2012
Leo hiyi Timu ya Burundi imeya aga mashindano ya Cecefa Tusker challenge cup 2012,mashondano hayo burundi ilikuwa inapewa kipao mbele chakufika mbali ila hali sivyo ilivyotokea kwani ilijikuta kukosa bahati zidi ya Zanzibar kwenye ngazi ya robo fainali,burundi imeaga mashindano hayo baada ya dakika tisini kumalizika na hivyo ikashindwa kufanya vyema kwenye mikwaju ya penelti 6 kwa 5(Fiston Abdul razak na Yamin Selemani ndio walishindwa).Match zote tatu ilizo zicheza za makundi ilizifung(5-1 zidi ya Somalia,1-0 zidi ya Tanzania,1-0 zidi ya Sudan).Mwa hizi siku mbili timu hiyo yasubiriwa hapa nchini.Imeshakuwa tabiya sugu kwa timu za hapa nchini kuya aga mashindano wakifkiya kwenye ngazi hiyo,itaisha lini hiyi yakutopita ngazi ya robo fainali?Kwanini timu zetu ikiwa za taifa ao timu zinazo wakilisha Burundi kwenye mashindano hayo hazipiti ngazi hiyo?Ili ni swali ambalo kila raia alazimika kujiuliza ili tuone kama twaweza kulipatiya jawabu maridhawa.Kwaupande wa Club mwaka huyu Vital'o njo itawakilisha Burundi.
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !