Hiyo ni picha ya wiki kwenye upande wa Primusic 2012,picha hiyo imechukuliwa baada tu ya Mwanamuziki B.June aliekuwa anawakilisha Mkoa wa Bururi kuondolewa mashindanoni,huku hapo kabla mwenzie Landry kutokea Mkoa wa Muyinga kuondolewa.Alidayi Landry kwa maneno makali:"Wewe njo umeniroga sauti,ukafanya ni shindwe,hiyo sio tabiya nzuri."Ifahamike tu ya kwamba Msanii huyo B.June aliwafahamisha wenziye wakiwa kambini kuwa yeye yuko na mzimu wa baba yake mzazi,hiyo ikaja kuwafanya wenziye wote kupatwa na hofu nawengine baadhi yao kutukuwa sawa.
|
Landry akiwa ananyamanzishwa na Big Farious baada yakuyaaga mashindano ya Primusi 2012. | | |
|
|
*Dj
Bisoso,ni Mrundi toka Mkoani Gitega,anafanya vizuri nchini Rwanda,na
alishindikiza mashindano kama hayo ya Guma Guma nchini Rwanda.
|
*Hao 6 ndio Washindi wa Primusic 2012 kwenye ngazi ya 1/4 fainali(Rally Joe,Aletha,Patient,Mr land,Kiki Toure & Samantha). |
|
|
| | |
|
|
|
|
|
|
|
|
| | | | | | | | | | | |
| |
|
|
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !