Home »
» Msafara wa Big farious Mkowani Kirundo...'
Msafara wa Big farious Mkowani Kirundo...'
|
Big Fizzo alishangazwa sana na talents za baadhi ya walio shindana Mkoani Kirundo... |
|
General ali imba live akisaidizwa na band la Kidum.Kidum akiwa kwenye batterie. |
|
Fizzo alichukuwa fursa akiwa anazungu ukwa na Buddy Magloire,Bachir Dia,Sony na AH yakuwaskilizisha baadhi ya beat atakazo zitumiya kwenye album yake mpya atakayo simama nayo hivi karibuni. |
|
Apo ni wakati alipokuwa anafika uwanja wa Tamasha,alizungurukwa na Washabiki kibao... |
|
Apo ni Ngozi,kila alipokuwa anasimama alikuwa akizungurukwa na Washabiki kibao,jambo lililo nipa picha yakuwa anapendwa sana hapa nchini. |
|
Apo ni Lamoda Club/Ngozi,hao ni Washabiki waliuza album ya Big Fizzo Cd 1 pesa 50.000frs,Cd hizo hadi mdaa huyu zauzikana pesa 10.000frs,ila hao washabiki wake waliuza cd 2 kwa bei ya elfu 50 cd moja. |
|
Chapati,nyama na chai ya maziwa ndio chakula cha asubuhi anacho penda MUGANI Desire. |
|
Apo ilikuwa ni Kirundo,Farious alishangazwa sana na talents za walio shindana,amewapongeza sana. |
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !