Nchi ya Burundi imeyaendelesha mazowezi kwakujianda na pambano kali zidi ya Harambe Stars ya Kenya linalo mulikiwa kuchezwa ifikapo tarehe 16/December?2012 jijini Bujumbura.Match hiyo ilikuwa imepangwa kuchezwa wiki ya tarehe 1,2/December ila kutokana na match za CECAFA Tusker Challenge Cup ikawa imesogezwa mbele kidogo.Kamati tendaji ya FFB kutokana na mda unao saliya ukiwa mfinyu imetowa tangazo kusema kuwa ligue inasimama ili kuwa achiya nafasi Wachezaji kusaliya kujinowa vyakutosha katika maandalizi ya match hiyo ambayo ni muhimu endapo tutapata fursa yakuwa miongon i mwazile zitakazo pata nafasi yakuchezea kombe hilo.Msafara ilio ufanya nchini Uganda kwa upande wa mashindano ya Cecafa nchi ya Burundi yamekuja kuwa mazoezi kwao kwani tukilinganisha mdaa walio jianda ulikuwa mfinyu sana kabla ya kwenda Uganda.Wameingiya jana mchana Bujumbura.
*Matokeo ya match zingine zilizochezwa tarehe 1 na 2/December ni pamoja na:
Centrafrique (Imejiondoa mashindanoni) – Congo (Imepita baada yakushinda kwa ushindi wachee)
Maurice – Comores : 2-0
Burkina Faso – Togo : 2-1
Liberia – Mauritanie : 0-1
Guinée – Sierra Leone : 0-0
Burundi – Kenya : itachezwa tarehe 16/12/2012.
Erythrée – Ethiopie : itachezwa tarehe 16/12/2012.
Maurice – Comores : 2-0
Burkina Faso – Togo : 2-1
Liberia – Mauritanie : 0-1
Guinée – Sierra Leone : 0-0
Burundi – Kenya : itachezwa tarehe 16/12/2012.
Erythrée – Ethiopie : itachezwa tarehe 16/12/2012.
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !