Patient,Rally Joe na Samantha,hawa ndiwo watapambana ifikapo Jumaa pili ijayo... |
Leo hiyi Mkoani Gitega ndipo palifanyika nusu fainali ya Mashindano ya Primusic 2012 ambapo Wanamuziki 6 walikuwa wakiwaniya nafasi 3 ili waweze kuchuwana kwenye fainali.Kati ya hao 6,walichaguliwa NIYINZI RALLY JOE,SAMANTHA KATIHABWA na PATIENT MATABARO.Ifikapo Jumaa pili tarehe 16/December ndipo watapambana kwenye fainali itakuwa jijini Bujumbura kwenye shule la Lycee Nyakabiga.Itaendeleya...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !