Timu ya Uganda,bingwa wa Cecafa... |
Jioni ya leo ndipo palichezwa match ya fainali kwa upande wa kinyanganyiro cha Cecafa Tusker Challenge Cup,kwenye fainali Uganda ilipambana na Kenya ikawa imeilazimisha kwa ushindi wa bao 2-1,match hiyo ilichezwa kwenye uwanja wa Nambolee Mandela,imechukuwa kombe hilo mara 13,ikifatwa na Kenya(5),Ethiopie(4),Tanzania(3),Sudan,Malawi,Zambia(2),Zanzibar,Rwanda na Zimbabwe(1).
Mfungaji bora:
-Robert Ssentongo,John Bocco na Mrisho Ngassa kila mmoja alifunga bao 5
Mchezaji bora:
-Bryan Umony(Uganda)
Kipa bora:
-Hamza Muwonge(Uganda),alifungwa bao moja tu...
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !