Home »
Bdi Beat Shows
» Konangwe Style inakuleteya:"Bye bye 2012 concert Mkoani Gitega tarehe 30/December/2012"
Konangwe Style inakuleteya:"Bye bye 2012 concert Mkoani Gitega tarehe 30/December/2012"
Written By Unknown on dimanche 9 décembre 2012 | dimanche, décembre 09, 2012
Kundi la Konangwe Style kwakumaliziya mwaka 2011 umeanda bonge la Tamasha kwa ushirikiyano na kombaini ya Wanamziki wengi ambao mnawaona kwenye bango hapo juu ifikapo tarehe 30/December/2012 Mkoani Gitega ambapo kundi hilo limezaliwa.Niya na mazumuni ya Tamasha hilo ni ku uwaga mwaka 2012 kwa amani na upendo na ndio maana walipenda kujiunga na wenzao kutoka Mikoa mingine.Mpangilio mzima soma kwenye bango hapo juu...
Libellés :
Bdi Beat Shows
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !