Primusic 2012.RALLY JOE:"Namshkuru mungu kuona nimepata tunzo ya milioni 10." - Kora Entertainment
Home » » Primusic 2012.RALLY JOE:"Namshkuru mungu kuona nimepata tunzo ya milioni 10."

Primusic 2012.RALLY JOE:"Namshkuru mungu kuona nimepata tunzo ya milioni 10."

Written By Unknown on lundi 17 décembre 2012 | lundi, décembre 17, 2012


Rally Joe akibebelea tunzo lakena cheki ya milioni 10.000.000frsbu


Kama tulivyo wafahamisheni apo jana usiku kuwa mshindi wa mashindano ya Primusic 2012 ni Rally Joe NIYINZI,ni kuwa blog yetu ya hii imeweza kuichukuwa jukumu nakumsogeleya Mshindi na akawa ametuwekeya wazi kuwa:"Namshkuru Mungu kuona nimeshindiya milioni 10,ilikuwa ni ndoto ila kwa sasa ndoto imekamilika,nilitumika vyakutosha sio siri bila kuwa Mungu singeweza kufikia hatuwa hiyi,namshkuru mama yangu mzazi,nashkuru washabiki wangu wote kwa ujumla,nina imani bila kuwa wao mimi apo jana singeweza kutunzwa tunzo lile la heshma,nimekuwa wa kwanza kilishindia nani nafkiri kuwa sintokuwa wa mwisho na watakiya ushindi wengine mwaka ujao endapo Brarudi itachukuwa jukumu lakuanda shindano lingine."

*Baadhi ya picha zashindano hilo:
Watu walio udhuria walikuwawngi mno,ilikuwa ni furaha kwenda mbele.Kwa hali tulio ishughudia ni kuwa kutokea barabara ya 9 Nyakabiga watu walikuwa kwenye foleni,ikidhihirisha hio kuwa kuna baadhi ya washabiki ambao walikuja kuona Tamsha wakati walio shindana walikuwa wameshamaliza kushindana.
Samantha Katihabwa Nzeyiman,alichukuwa na fasi ya 2,nakujinyakuliya milioni 5.Ameahidi kuwa ataitengeneza album yake ya kwanza,na anatarajia kuendelesha masomo,yaani chuo kikuu.


Matabaro Patient,alichukuwa nafasi ya tatu,binafsi alifurahishwa nakuona alishindana na kuona alionyesha uwezo wake mahali unapo fikia,alirizishwa na milioni 2 na nusu,aliahidi kuingiya studio na kuiweka hadharani album yake ya kwanza.

Rally Joe alipokuwa anaimbanyimbo yake 'reka ntahe' ali itowa mfukoni flag ya bendera ndogo ya Burundi,kwenye fainali ya jana ali imba nyimbo 2 kama walivyo ombwa na kamati ya primusic 2012,ali imba nyimboyake nyingine inayo kwenda na jina 'Isango',aliahidi kuendlesha masomo yake(chuo kikuu na kuzifanya Tamasha mbali mbali kwa niaba yakutowa msada kwakuwasaidiya watoto wa barabarani.
Rally joe akipongezwa na mama yake mzazi huku akiangusha mchozi...(nyumayake Dj Ashanti,mmoj kati ya Wachakachuwaji 'jaji').

Rally Joe alikuwa ni wa kwanza kuwa na Washabiki wengi toka nusu fainali Mjini Gitega...

Apo ilikuwa ni Gitega kwenye nusu fainali...
Apo ilikuwa ni jana kwenye shule la EFI Nyakabiga...
Share this article :

1 commentaire:

  1. avec quel critere qu'on a pris pour que R joe soit le 1r? Très injuste!!!!

    RépondreSupprimer

Commentaire

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News