Home »
Bdi Beat News
» Festo Mabena ipo likizoni mjini Bujumbura...
Festo Mabena ipo likizoni mjini Bujumbura...
Written By Unknown on lundi 17 décembre 2012 | lundi, décembre 17, 2012
Festo Mabena msanii mrundi ambae kipindi kirefu alikuwa anaishi nchini Marekani jana usiku ameingiya Burundi.Habari kamili tulio ipata ni kuwa msanii huyo alianza kwanza kupitiya nchini Tanzania ambako pako familia yake kwasasa,ikumbukwe ya kuwa familia yake ilikimbia nchini toka vita ya mwaka 1993.Ametufahamisha kwamba ameletwa Burundi na mpango mrefu kimziki,itaendeleya habari hii...
Libellés :
Bdi Beat News
0 commentaires:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !