Primusic 2012.KIDUM:"Naipongeza sana Brarudi." - Kora Entertainment
Home » » Primusic 2012.KIDUM:"Naipongeza sana Brarudi."

Primusic 2012.KIDUM:"Naipongeza sana Brarudi."

Written By Unknown on lundi 17 décembre 2012 | lundi, décembre 17, 2012

Pichani Kidum,Rally joe,patient na Samantha wakihojiwa nawa andishi habari...
713148

Mwanamziki Jean Pierre NIMBONA KIDUM alifurahishwa na mpangilio mzima wa Primusic 2012,alifurahi kuona walio anda mashindano walifurahi kuwapa na fasi wao wanamziki wa Burundi ambao wanafanya vyema nje na ndani ya Burundi,akizungumzia yeye na Big Farious, Dj bisoso ambae nayeye ni mkali katika kanda yetu hii ya East africa kwenye mpango mzima wakuchanganya madebe nakuleta ladha ya Tamasha kwakupenyeza manjo manjo flani flani wakati Msanii anakapokuwa anapafomu jukwani na bila kuwatenga wanamziki wa hapa Burundi kama YOYA,MKOMBOZ,Kundi la Peace & love na wengine ambao wanafanya vyema nchini hapa.Kwa upande wa KIDUM kama balozi wa Brarudi kimziki,alisema:"Nimefurahi sana,ni jambo nzuri tena lakupongeza japokuwa kasoro hazikukosa ila huu ni mwanzo,imani ya kuwa mwaka ujao donge la pesa litapanda na kasoro kasoro zilizo jitokeza zitarekebishwa."Aliongeza:"Waliofika wote fainali,yeyote atakae taka kufanya colabo namimi niko tayari,ni wadogo zangu lazima niwape motisha kwa safari walio ifanya hadi kufkiya atua hii ni ndefu,mimi nafurahi kuona kila mmoja wao aliridhishwa nana fasi alie ipata.Pongezi sana kwa wote na waliochangia kwa hili na lile ili mpango mzima ukamilike."


Picho hioni nusu fainali mjini Gitega:Hapo jana Fizzo alikonga ile mbaya nyoyo za mashabiki wake.
Dj Bisoso,anaishi Rwanda kwasasa ila ni mrundi,ndie alie fanya kazi nzuri kwa upande wa ufundi mitambo...Alishika uskani huyo nchini Rwanda kwenye mashindano kama hayo (Guma Guma ).


















Share this article :

0 commentaires:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Fans Page

Le Béryl Café- Resto- Snack

Visitors

 
Support : Kent-P | Buja News | Kora Entertainment
Copyright © 2013. Kora Entertainment - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website: Kent-P Published by Buja News